بعد غياب طويل تعود الزرقاء ببابا فين وبالسواحليه بعد!!!
Hello hello hello hello
Baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Ami ami ami
Nimeona kiwembe?
Nlikuwa nnacho
Nimempa mwezangu
Amechukuwa akakipoteza
Namimi nimemwambiye baba
Sasa baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Hello hello hello hello
Ami ami ami
Mzuri nani?
Mimi tutaa
Tutaa nani?
Ndugo yango butaa
Butaa nani?
Mtoto wa baba
Umeniyona vipi mimi mzuri?
Hewa hewa hewa
Umeniyoa vipi mimi mchepe?
Ya salam
Mimekula choklet!
Kimebaki kidogo!
Nimempa butaa
Akakichukawa paka!
Namimi nimemwambiye baba
Sasa baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Hello hello hello hello
Ami ami ami
Na wewe nani?
Mimi Lulu
Lulu nani?
Mpenzi wako Lulu
Lulu nani?
Lulu karibu yawo
Sasa nisikilize nnaseme nini!
Sasa sema
Kwa nini umehamaki
Nnakwambiya mafumbo
Nzuri kidodo
Amemkimbiya mwenziwa
Nimemkutakwa jirani yake
Nimemjuwa yeye nami?
Namimi nimemwambiye baba
Sasa baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Tunasimbuliwa namba uliyotumiya haipotikani tumiya mara ya pili.
Baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Ami ami ami
Nimeona kiwembe?
Nlikuwa nnacho
Nimempa mwezangu
Amechukuwa akakipoteza
Namimi nimemwambiye baba
Sasa baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Hello hello hello hello
Ami ami ami
Mzuri nani?
Mimi tutaa
Tutaa nani?
Ndugo yango butaa
Butaa nani?
Mtoto wa baba
Umeniyona vipi mimi mzuri?
Hewa hewa hewa
Umeniyoa vipi mimi mchepe?
Ya salam
Mimekula choklet!
Kimebaki kidogo!
Nimempa butaa
Akakichukawa paka!
Namimi nimemwambiye baba
Sasa baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Hello hello hello hello
Ami ami ami
Na wewe nani?
Mimi Lulu
Lulu nani?
Mpenzi wako Lulu
Lulu nani?
Lulu karibu yawo
Sasa nisikilize nnaseme nini!
Sasa sema
Kwa nini umehamaki
Nnakwambiya mafumbo
Nzuri kidodo
Amemkimbiya mwenziwa
Nimemkutakwa jirani yake
Nimemjuwa yeye nami?
Namimi nimemwambiye baba
Sasa baba yuwapi?
Baba yupo
Yupo hapa
Tumwambiye nani?
Mwambiye ami
Ami nani?
Mwambiye nani anamtaka?
Tunasimbuliwa namba uliyotumiya haipotikani tumiya mara ya pili.